Maelezo ya Chini
b Kwa kawaida Mlima Karmeli huwa na mimea mingi, kwa sababu pepo zenye unyevunyevu kutoka baharini hupanda juu ya mabonde yake na kutokeza mvua na umande kwa wingi. Kwa kuwa Baali alionwa kuwa ndiye aliyeleta mvua, mlima huo ulikuwa kituo muhimu cha ibada ya Baali. Mlima Karmeli uliokauka ulikuwa mahali panapofaa pa kufunua ibada ya Baali kuwa ya udanganyifu.