a Ona tofauti kati ya safari hii na simulizi la safari ya mapema zaidi: “Maria akaondoka. . . akaenda” kumtembelea Elisabeti. (Luka 1:39) Wakati huo, kabla hajaolewa, Maria angesafiri bila kumjulisha Yosefu. Lakini baada ya kuolewa, Yosefu ndiye aliyefanya uamuzi wa kusafiri, si Maria.