Maelezo ya Chini
a Wayahudi wengi wa karne ya kwanza waliwatenga wanawake ilipohusu mambo ya elimu. Wanawake walifundishwa tu kuhusu mambo ya nyumbani. Hivyo, huenda Martha hakuona umuhimu wa Maria kuketi miguuni pa Yesu ili kujifunza.