Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Maneno “kuwekwa msingi wa ulimwengu” yanahusiana na wazo la kupanda mbegu, yakimaanisha kuzaana, hivyo yanamhusu mzao wa kwanza kabisa wa wanadamu. Basi, kwa nini Yesu alihusianisha Abeli na “kuwekwa msingi wa ulimwengu” na si Kaini, ambaye alikuwa wa kwanza kuzaliwa? Maamuzi na matendo ya Kaini yalionyesha uasi wa kimakusudi dhidi ya Yehova Mungu. Kama wazazi wake, inaonekana Kaini hana tumaini la kukombolewa na kufufuliwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki