Maelezo ya Chini
d Mnamo Septemba 1920, gazeti The Golden Age (sasa Amkeni!) lilichapisha toleo la pekee ambalo lilitaja kwa kina visa vingi vya mateso waliyopata watu wa Mungu katika nchi ya Kanada, Marekani, Uingereza, na Ujerumani wakati wa vita. Baadhi ya mateso hayo yalikuwa ya kikatili sana. Kinyume cha hilo, miaka kadhaa kabla ya vita vya kwanza vya ulimwengu hakukuwa na mateso makali sana kama hayo.