Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

d Yesu alifundisha jambo hilohilo katika mfano wake kuhusu mwanabiashara anayesafiri kutafuta lulu moja ya thamani kubwa. Anapoipata, mwanabiashara huyo anauza vitu vyote alivyo navyo na kuinunua. (Mt. 13:45, 46) Pia, mifano yote miwili inatufundisha kwamba tunaweza kujifunza kweli ya Ufalme katika njia mbalimbali. Wengine hupata kweli hiyo bila kutarajia; hali wengine huitafuta. Lakini hata iwe tulipata kweli kwa njia gani, tuko tayari kujidhabihu ili tuutangulize Ufalme maishani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki