Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Katika mwaka wa 1932, Buku la 2 la kitabu Vindication lilionyesha kwanza kwamba unabii wa Biblia unaohusu kurudishwa kwa watu wa Mungu katika nchi yao ulitimizwa katika siku zetu kwa Waisraeli wa kiroho, na si Waisraeli wa kimwili. Unabii huo unazungumzia kurudishwa kwa ibada safi. Gazeti Mnara wa Mlinzi la Machi 1, 1999, lilieleza kwamba maono ya Ezekieli kuhusu hekalu ni mojawapo ya unabii unaozungumzia kurudishwa kwa ibada safi na kwa hiyo unatimizwa kwa njia muhimu kiroho katika siku za mwisho.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki