Maelezo ya Chini
a Kesi hiyo ya Cantwell v. State of Connecticut (Cantwell Dhidi ya Jimbo la Connecticut) ilikuwa ya kwanza kati ya kesi 43 zilizowasilishwa katika Mahakama Kuu ya Marekani ambazo Ndugu Hayden Covington angekuwa wakili wa akina ndugu. Alikufa mwaka wa 1978. Mjane wake, Dorothy, alibaki mwaminifu hadi kifo mwaka wa 2015 akiwa na umri wa miaka 92.