Maelezo ya Chini
a Katika mwaka wa 2013, wajitoleaji zaidi ya 230,000 walikubaliwa kufanya kazi katika Halmashauri za Ujenzi za Mkoa 132 nchini Marekani. Katika nchi hiyo, halmashauri hizo zilisimamia ujenzi wa Majumba mapya ya Ufalme 75 hivi kwa mwaka na kusaidia kukarabati majumba 900 hivi.