Maelezo ya Chini
a Inaelekea Abeli alizaliwa muda mfupi baada ya Adamu na Hawa kufukuzwa kutoka Edeni (Mwa. 4:1, 2) Mwanzo 4:25 inasema Mungu alimchagua Sethi ‘achukue mahali pa Abeli.’ Adamu alikuwa na umri wa miaka 130 alipomzaa Sethi, baada ya Abeli kuuawa kikatili. (Mwa. 5:3) Basi, huenda Abeli alikuwa na umri wa miaka 100 Kaini alipomuua.