Maelezo ya Chini
c Mungu wa kiume Nanna alijulikana pia kwa jina Sin. Ingawa wakaaji wa Uru waliabudu miungu mingi, mahekalu na madhabahu katika jiji hilo yaliwekwa wakfu kwake.