Maelezo ya Chini
e Inaonekana Ezekieli alianza kutoa unabii alipokuwa na umri wa miaka 30, mwaka wa 613 K.W.K. Kwa hiyo inaonekana alizaliwa karibu mwaka wa 643 K.W.K. (Eze. 1:1) Yosia alianza kutawala mwaka wa 659 K.W.K., na kitabu cha Sheria, labda nakala ya awali, ilipatikana karibu na mwaka wa 18 wa utawala wake, au karibu mwaka wa 642-641 K.W.K.