Maelezo ya Chini
a Kwa mfano, Wafilisti hawakumruhusu mtu yeyote afanye kazi ya kufua vyuma katika Israeli. Waisraeli walilazimika kwenda kwa Wafilisti kunoa vifaa vyao vya kilimo na malipo waliyotozwa kwa kazi hiyo yalikuwa sawa na mshahara wa siku kadhaa.—1 Sam. 13:19-22.