Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Mifupa ambayo Ezekieli aliona katika maono, haikuwa ya watu waliokufa kifo cha kawaida, bali ya “watu waliouawa.” (Eze. 37:9) “Watu wote wa nyumba ya Israeli” waliuawa kwa njia ya mfano wakati wakaaji wa ufalme wa Israeli wenye makabila kumi na wale wa ufalme wa Yuda wenye makabila mawili waliposhindwa, wakatekwa, na kupelekwa uhamishoni na Waashuru na Wababiloni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki