Maelezo ya Chini b Kwa mfano, Paulo alikazia kuhani mkuu na jukumu lake kila mwaka katika Siku ya Kufunika Dhambi. (Ebr. 2:17; 3:1; 4:14-16; 5:1-10; 7:1-17, 26-28; 8:1-6; 9:6-28) Lakini maono ya Ezekieli hayataji kuhani mkuu wala Siku ya Kufunika Dhambi.