Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Yehova alikuwa akionyesha tofauti ya jinsi watu wake walivyokuwa wameitendea nyumba yake takatifu hapo zamani: “Kwa kuweka kizingiti chao kando ya kizingiti changu na mwimo wa mlango wao kando ya mwimo wa mlango wangu, kukiwa na ukuta tu kati yangu nao, walilichafua jina langu takatifu kwa mambo yanayochukiza waliyotenda.” (Eze. 43:8) Katika Yerusalemu la kale, hekalu la Yehova na nyumba za watu zilitenganishwa tu na ukuta. Watu walipoacha kufuata viwango vya Yehova vya uadilifu, walileta uchafu wao, sanamu zao, karibu sana na nyumba ya Yehova. Yehova hangevumilia hali hiyo!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki