Maelezo ya Chini
c Hekalu la kiroho lilianzishwa mwaka wa 29 W.K. Yesu alipobatizwa na kuanza kazi yake akiwa Kuhani Mkuu. Hata hivyo, kwa karne nyingi ibada safi duniani ilipuuzwa kwa kiwango kikubwa baada ya mitume wa Yesu kufa. Ibada safi imeinuliwa juu hasa tangu mwaka wa 1919.