Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

c Kuhusiana na hilo, kumbuka mfano wa Yesu wa wavu wa kukokotwa. Samaki wengi wananaswa na wavu, lakini si wote walio “wazuri.” Samaki wasiofaa wanatupwa. Basi Yesu alionya kwamba huenda baadaye idadi kubwa ya watu wanaoingia katika tengenezo la Yehova wakakosa kuwa waaminifu.—Mt. 13:47-50; 2 Tim. 2:20, 21.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki