Maelezo ya Chini
c Baadhi ya madaktari huona sehemu nne kuu za damu kuwa visehemu vya damu. Kwa hiyo, unapaswa kuhakikisha daktari anaelewa uamuzi wako kwamba hutakubali kutiwa mishipani damu nzima, chembe nyekundu, chembe nyeupe, vigandisha-damu, au plazima.