Maelezo ya Chini
a Kuanzia mwaka wa 455 K.W.K. hadi mwaka wa 1 K.W.K. ni miaka 454. Kuanzia mwaka wa 1 K.W.K. hadi mwaka wa 1 W.K. ni mwaka mmoja (hakukuwa na mwaka wa sufuri). Na kuanzia mwaka wa 1 W.K. hadi mwaka wa 29 W.K. ni miaka 28. Jumla ni miaka 483.