Maelezo ya Chini
a “Maneno haya yaliyomo katika mstari wa 14 ndiyo maana ya mfano wote wala si ya sehemu iliyo juu ya mtu asiye na vazi la arusi.”—Ukurasa wa 104 wa Barnes Notes on the New Testament, chapa ya 1963. The Jerusalem Bible (1966) yasema, katika maelezo ya chini juu ya Mathayo 22:14: “Sentensi hii yaelekea kumaanisha sehemu ya kwanza ya mfano badala ya ile ya pili. Maana si juu ya wateule kwa jumla bali juu ya Wayahudi, waliokuwa wa kwanza kualikwa. Mfano . . . wala haudai wala haukani kwamba wengine (‘wachache’) wa Wayahudi hawakuukubali mwaliko na kwamba wao si ‘waliochaguliwa’.”