Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Miaka mingi mapema, kitabu chenye kichwa “The Battle of Armageddon,” kilichochapwa mwaka wa 1897, kilisema hivi katika ukurasa wa 592, fungu la 1: “Zaburi yenye kueleza kipindi hiki yatangaza:​—‘Elfu wataanguka upande wako, na elfu kumi mkono wako wa kuume; lakini haitakukaribia [watakatifu waaminifu, washiriki wa mwili wa Kristo, ambao washiriki wake waliochaguliwa karibuni watakwisha.]’​—Zaburi 91:7.”

Hivyo tayari nyuma huko mwaka wa 1897 mtu aliyesemezwa katika Zaburi 91 alionwa kama mtu mwenye watu wengi ndani yake, jamii ya wanafunzi wa Yesu Kristo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki