Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a “Njia ya kuchachisha vileo inataka divai bora zifanyizwe kwa uangalifu. . . . Ngozi za matunda ya mzabibu kwa kawaida zinakuwa zimefunikwa na vijidudu (bacteria), ukungu, na chachu. Chachu za mwituni kama Pichia, Kloeckera, na Torulopsis mara nyingi zinakuwa nyingi zaidi kuliko chachu ya divai inayoitwa Saccharomyces. Ingawa kwa kawaida namna namna za Saccharomyces zinaonwa kuwa za kutamanika zaidi kwa kuchachisha vileo sawasawa, inawezekana kwamba namna namna nyingine za chachu zinaweza kuongeza ladha. hasa mwanzoni mwanzoni mwa kuchachisha. Saccharomyces inapendelewa kwa sababu ina matokeo mazuri katika kugeuza sukari iwe kileo na kwa sababu haishindwi nguvu sana na vileo.”​—Encyclopædia Britannica, Volume 19, chapa ya 1974, ukurasa 879, chini ya “Kuchachisha.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki