Maelezo ya Chini
a Tangazo la Kiamerika la Uhuru, lililoazimiwa na Continental Congress katika Philadelphia, Pennsylvania, Julai 4, 1776, lilisema hivi katika fungu lake la pili: “ . . . Kwamba ili kujipatia haki hizi, serikali zinaanzishwa miongoni mwa watu, zikipata mamlaka zao za haki kwa kuruhusiwa na watawaliwa.”