Maelezo ya Chini
b Tunaona mifano mingine ya aina hii ya kutumikia (“ministering,” NW) katika masimulizi ya karamu ya arusi katika Kana (Yohana 2:1-9), katika utumishi uliofanywa na mamamkwe wa Petro (Mt. 8:14, 15), na ule uliofanywa na Martha.—Luka 10:40; Yohana 12:2; tazama Kingdom Interlinear Translation.