Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Juu ya jambo hili, M’Clintock and Strong’s Cyclopoedia, Volume IV, ukurasa wa 641, safu ya pili, chini ya “Ireland,” chasema hivi: kipindi cha machafuko ya utawala, ambacho hali ya adili ya mapadre wa Ireland iliharibika sana. Malalamiko ya Rumi wakati huo yalihusu mazoea ya kidini hasa ya Waireland​—⁠ndoa ya mapadre, usimamiza wa ubatizo bila ya kutumia mafuta matakatifu, na matumizi ya mpango wao wenyewe wa ibada. Wajumbe wa mapapa mwishowe walifaulu, kutiisha kabisa Kanisa la Ireland chini ya Kanisa la Rumi karibu na katikati ya karne ya kumi na mbili, na inaaminiwa mpaka wakati huo kanisa hilo halikuwa na maungamo ya siri, matoleo ya misa, na mapendeleo, na kuadhimisha Kijio cha Bwana katika aina zote mbili. Mwaka wa 1155 tangazo la papa Hadrian wa Nne lilimruhusu mfalme Henry wa Pili wa Uingereza atiishe Ireland, naye mfalme akamwahidi papa kwamba atayalinda mapendeleo ya papa.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki