Maelezo ya Chini
b Kwa mfano, angalia maneno ya Yesu katika Mathayo 22:7 juu ya mfano wake wa karamu ya arusi ya Mfalme. Majeshi ya upagani ya Kirumi yenye kuongozwa na Jemadari Tito ndiyo yaliyotimiza utabiri wake mwaka wa 70 W.K. juu ya mji wa Yerusalemu usiogeuzwa kuwa wa Kikristo.