Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

c Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania iliandikwa kisheria Desemba 13. 1884, chini ya sheria za wilaya ya Pennsylvania. Kwa sasa imepewa ruhusa kwa sheria iwe na washiriki kufika 500, lakini wakati wa kuandikwa kwa gazeti hili (la Kiingereza) ina washiriki 397 tu. Sosaiti hii ina baraza ya wasimamizi saba, wa kusimamia mambo ya Sosaiti. Kulingana na mkataba wa Sosaiti katika kila mkutano wa mwaka washiriki wa Baraza ya Wasimamizi wanachaguliwa na washiriki wote wa Sosaiti wanaohusika. Baada ya uchaguzi huo wa kila mwaka Baraza ya Wasimamizi huchagua maafisa wao wenyewe, kama vile msimamizi (president) wa Sosaiti, n.k. Kulingana na masharti ya Mkataba Sosaiti hutenda kama “chombo cha usimamizi” cha Mashahidi wa Yehova wa Kikristo wote walioko duniani pote. Sosaiti hutunza maafisi ya Matawi 96 duniani pote.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki