Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kamusi Lexicon of the New Testament ya Robinson yasema juu ya neno e·lengʹkho hivi: “kuaibisha, kutweza, katika Homer tu [mtunga mashari Mgiriki aliyeishi kabla ya nyakati za Ukristo]. . . . Kwa kawaida na katika A[gano] J[ipya] kusadikisha, . . . kukanusha, kuhakikishia mtu ana kosa.”

Kitabu Word Studies in the New Testament cha Vincent chasema: ‘‘Katika Kigiriki cha asili lamaanisha kutweza au kuaibisha . . . Halafu [baadaye], kuhoji-hoji au kuuliza maulizo, kwa kusudi la kusadikisha, kusadikisha mtu kwamba ana kosa au kukanusha. . . . Kuhusu mabishano, kujaribu; hakikisha; hakikisha kwa mfululizo wa sababu.”‏ (Sisi ndisi tumelaza maneno)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki