Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

c Ingawa watu fulani wametajwa kwa njia mbaya katika maandiko ya Paulo na Yohana, na iangaliwe kwamba hilo lilifanywa katika barua walizoandikiwa watu mmoja mmoja kwa kusudi la kuwaonya na waasi imani au watu waliopinga sana kazi ya mitume. (1 Tim. 1:19, 20; 2 Tim 1:15; 4:10, 14, 15; 3 Yohana 9) Lakini, barua nyingi zilioandikwa na waandikaji wenye kuongozwa na Mungu zina makaripio mengi yaliyohitajiwa kabisa lakini wakosaji hawatajwi majina.​—Linganisha Warumi 2:1-4, 17-24; 1 Wakorintho 1:11-13; 3:1-4; 15:12; Yakobo 2:19.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki