Maelezo ya Chini
a “Maneno haya yaeleza uhakika wa kuja kwa siku ya hukumu, na hos Kle’ptes [kama mwivi] na ghafula yake isiyotazamiwa; . . . tes tou Theou hemeras [ya siku ya Mungu], mst. wa 12 waonyesha kwamba kyriou [Bwana] hapa [mstari wa 10] pia ni sawa na Theou [ya Mungu], (si na Khristou [ya Kristo]; . . . ”—Mistari ya 3-6, fungu la 1, ukurasa wa 428, ya Critical and Exegetical Handbook to the General Epistles of James, Peter, John, and Jude, cha J. E. Huther (1887).