Maelezo ya Chini
a Katika sheria ya Kirumi, “sharti la pekee lililohusu ndoa” ni “kukubaliana kwa wenye kuoana,” nayo leseni haikutakiwa, wala sherehe wala uhakikisho. (The New Schaff-Herzog Religious Encyclopedia, Vol. VII, kur. 198, 199) Hivyo, ikiwa mwanamume alichumbia mwanamke akakubali kuolewa, hilo peke yake ndilo lililotakiwa na sheria ili ndoa iwe halali.