Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Angalia kwamba orodha iliyoonyeshwa katika kitabu Aid to Bible Understanding, ukurasa wa 1041, inaonyeshwa kwa makosa kwamba ndoa za namna hiyo zilikatazwa. Kwa hakika andiko hilo (Mambo ya Walawi 18:11) lataja waziwazi kwamba huyo binti ni “binti ya mkewe baba yako,” hivyo si binti wa kulelewa. Ramani iliyo katika Mnara wa Mlinzi (Kiingereza) wa Februari 1, 1975, ukurasa 73, kwa usahihi haikutia ndani ndoa ya mtu aliyeoa dada yake wa kambo kuwa ilikatazwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki