Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kuhusu Yohana 5:25, 26, tunasoma hivi: “Uzima unaoonyeshwa kwa [neno] hili zésousin [neno la Kigiriki kumaanisha wataishi], kwa kuwa wanaotajwa kwalo walikuwa wafu, lazima liwe jambo analoendelea kupewa,​—uzima unaotoka kwa Mwana, anayehuisha. Walakini hangeweza kuwapa ikiwa Yeye mwenyewe hana kisima cha kimungu cha uzima ndani Yake Mwenyewe chenye kujitegemea, kama vile Baba, ambacho Baba, Aliye hai peke yake (vi 57) alimpa Yeye alipomtuma duniani atimize kazi Yake ya kimasihi; Linga. x 36.”​—Ukurasa 184, wa Critical and Exegetical Handbook to the Gospel of John cha Heinrich August Wilhelm Meyer, kilichochapwa katika Kingereza katika mwaka 1884.

Tafsiri ya Good News Bible hutafsiri Yohana 5:26 hivi: “Kama vile Baba mwenyewe aliye chemchemi ya uzima, vivyo hivyo yeye amemfanya Mwanawe kuwa chemchemi ya uzima.” (Ilichapwa na American Bible Society katika mwaka 1976)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki