Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Yesu alitumia mtajo “wa imani haba” kwa habari ya wanafunzi wake peke yao. Unaonekana pia katika Mathayo 8:26; 14:31; 16:8 na Luka 12:28. Kifungu hicho cha maneno kinapatikana katika maandishi ya kirabi, jambo hilo likionyeshwa kwamba ulikuwa ukifahamika vizuri. Kwa mfano, kitabu Babylonian Talmud kinasimulia hivi: “R[abi] Eliezeri mkuu atangaza hivi: Ye yote aliye na kipande cha mkate katika kikapu chake naye asema, ‘Nitakula nini kesho?’ Ni mmoja wa wale wa imani haba”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki