Maelezo ya Chini
a Hivyo ndivyo hakimu mmoja alivyomwambia Epipodio mwenye kusema kwamba alikuwa ni Mkristo. Hakimu alikuwa akimwuliza maulizo na kujaribu kumfanya aache msimamo wake. Jambo hilo linasemwa kuwa lilitukia katika Ufaransa wakati wa mwaka wa 17 wa kutawala kwa Mfalme Mroma Marku Aurelio. (177 W.K.)