Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Kwa habari zaidi juu ya kuendelezwa kwa “sikukuu ya vibanda” mpaka kwenye wakati wa ile miaka elfu, angalia kitabu Paradise Restored to Mankind— By Theocracy!, sura ya 22, na hasa kurasa 400 mpaka 402; linganisha vilevile kurasa 53-57, 79-90 na 106-115. Jambo halisi la Kikristo lililofananishwa na sikukuu hiyo lilianza kutimizwa kuanzia na siku ya Pentekoste, mwaka 33 W.K. Furaha liliyokuwa nayo kundi hilo ilipotea ulipoanza ule uasi mkubwa wa imani. Walakini, wakati Israeli wa kiroho ilipokombolewa na Babeli Mkuu katika mwaka 1919, baada ya Vita ya Ulimwengu ya Kwanza, kukusanywa, kwanza kwa wale wa mabaki watiwa mafuta na kisha kwa wale wa ‘‘mkutano mkubwa,” kulianza kufanywa tena, na pamoja nako ikaanza ile ‘‘sikukuu ya vibanda” iliyofananishwa. Hii ni sikukuu yenye kuendelea, ‘‘mwaka baada ya mwaka,” mpaka wakati wote wa kufufuliwa kwa wafu. Itamalizika baada tu ya lile jaribu la mwisho la wanadamu waliokamilishwa, wakati ambapo wale wote wanaolipita jaribu hilo kwa kufaulu watakapokuwa mwishowe wakaaji wenye kudumu wa dunia hii. Angalia vilevile Mnara wa Mlinzi (Kiingereza), 1967, kurasa 440-443; 1973, kurasa 244-257 (Kiswahili); 1977 (Kiingereza), ukurasa 541, na kitabu Aid to Bible Understanding, kurasa 573 mpaka 576.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki