Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Hiyo inafanana na vile alivyosema Yesu katika mfano wake wa ngano na magugu, kwamba “shamba” lilikuwa ulimwengu wa watu. (Mt. 13:38) Ila hapa, katika Marko 4:​26-29, “nchi” ambayo ndani yake mbegu zinapandwa, badala ya kuwa ulimwenguni pote, inahusu tu watu ambao mtu mmoja mmoja anakutana nao na kushirikiana nao. “Nchi” haifananishi “moyo” wa watu mmoja mmoja, kama vile katika Mathayo 13:19 na Luka 8:​12, 15.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki