Maelezo ya Chini
a Blblia The Jerusalem Bible (Kifaransa) yasema hivi, juu ya Isaya 21:2: “Elamu ndilo jina la wakaaji wa kale wa sehemu tambarare iliyo juu ambayo katika hiyo Waajemi walitoka. Wamedi walikuwa wamekuwa vibaraka wa Koreshi kabla ya kutekwa kwa Babeli.”