Maelezo ya Chini
a Kuanzia wakati huo alionwa kuwa kama mtu aliyekufa. Hakuruhusiwa kujifunza pamoja na wengine, wala hakukupaswa kuwa na uhusiano [wa kirafiki] pamoja naye, hata hakupaswa kuonyeshwa mahali njia ilipo. Ni kweli angeweza kununua vitu alivyovihitaji kwa maisha, lakini ilikatazwa kula au kunywa pamoja na mtu huyo.”—Kitabu cha Kiingereza kiitwacho The Life and Times of Jesus the Messiah (Maisha na Nyakati Ambazo Yesu Masihi Aliishi), cha A. Edersheim, Vol. II, uku. 184.