Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

d Toleo letu la Desemba 15, 1981, lilizungumza 2 Wathesalonike 3:14, 15 (NW) ambapo Biblia inasema kwamba huenda kukawa na uhitaji mkubwa wa ‘kumtia alama’ Mkristo anayejikaza azidi kufuata mwenendo wa kukosa utaratibu. Bado yeye ni ndugu ua anapaswa aonywe kwa upole kama ndugu, lakini Wakristo wale wengine wanapaswa ‘waache kushirikiana na yeye’. Ikiwa wanapaswa kuepuka ushirika wa kirafiki pamoja na huyo, kunapasa kuwe na mtengano mkubwa zaidi katika visa vya wakosaji waliotengwa au waliojitenga wenyewe na ushirika.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki