Maelezo ya Chini
c Katika mstari wa 21 Paulo anatumia neno la Kigiriki gnoʹsis, ambapo katika mstari wa 28 yeye anatumia e·piʹgno·sis, ambayo ni namna yenye mkazo zaidi ya neno hilo. Linaonyesha maarifa ya undani zaidi na makamilifu zaidi.