Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Ikiwa ungependa kuchunguza zile mara 24 zote ambapo parousía inaonekana, ni kama ifuatavyo: Mathayo 24:3, 27, 37, 39; 1 Wakorintho 15:23; 16:17; 2 Wakorintho 7:6, 7; 10:10; Wafilipi 1:26; 2:12; 1 Wathesalonike 2:19; 3:13; 4:15; 5:23; 2 Wathesalonike 2:1, 8, 9; Yakobo 5:7, 8; 2 Petro 1:16; 3:4, 12; 1 Yohana 2:28. Vilevile inapendeza kuangalia kwamba, kati ya wale waandikaji watano wa Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo waliotumia neno parousía, watatu walikuwa katika kile kikundi kilichomwuliza Yesu lile ulizo juu ya Mlima wa Mizeituni.​—Marko 13:3.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki