Maelezo ya Chini
a Usemi “ishara ya wakf” ni tafsiri ya neno la Kiebrania nezer, ambalo kitabu Exhaustive Concordance of the Bible cha Strong kinaeleza hivi: ‘[kwa] kufaa kitu kilichotengwa, yaani wakf (wa kujitenga wa kuhani au Mnaziri); kwa hiyo (kwa halisi) vifundo vya nywele ambavyo havijanyolewa; pia (kwa njia ya mfano) taji (hasa ya kifalme):—kutakaswa, taji, nywele, kutengwa.