Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Ili uone mahali pengine-pengine ambapo neno la Kigiriki la kitendo, an·driʹzo, linapatikana katika LXX ya Kigiriki (maana yake “Septuagint” au “sabini”) angalia: Yoshua 1:6, 7, 9, 18; 10:25:2 Samweli 10:12 13:28; 1 Mambo ya Nyakati 19:13; 22:13; 28:20; 2 Mambo ya Nyakati 32:7; Zaburi 26:1427:14; 30:2531:24; Yeremia 2:25; 18:12; Danieli 10:19; Mika 4:10; linganisha mistari hii na maneno ya tafsiri za maandishi ya kwanza ya Kiebrania ya mistari hiyo, kwa mfano ulinganishe mistari hiyo na tafsiri za kisasa za Kiingereza zilizoonyeshwa juu. Kwenye Yeremia 2:25 tunasoma hivi: “Lakini huyo mwanamke akasema, Mimi nitatenda kama mmoja ambaye amefikia kukomaa [an·driʹzo]. Kwa sababu huyo mwanamke alipenda watu wa kigeni, basi nyuma yao alienda.”​—Charles Thomson.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki