Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Paulo alitumia neno la Kigiriki proskynéo, ambalo kamusi inayoitwa The Greek-English Lexicon of the New Testament (ya Bauer, Arndt, Gingrich) inasema “lilitumiwa kumaanisha desturi ya kujishusha chini usujudie mbele ya mtu na kupiga busu miguu yake, upindo wa vazi, ardhi.” (1 Samweli 24:8; 2 Wafalme 2:15) Linaweza pia kumaanisha “ibada,” na ndivyo Biblia nyingine zinavyosema kwenye Waebrania 1:6. Ikiwa hiyo ndiyo maana sahihi hapo, ni wazi kwamba inayomaanishwa ni ibada ya kiasi, kuabudu Yehova Mungu kwa njia ya moja kwa moja kupitia Mwanaye aliyetukuzwa,—Linganisha Ufunuo 14:7: The Watchtower la Novemba 15, 1970, kurasa 702-704.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki