Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Biblia ya Kispania ya Kikatoliki inayoitwa Cantera-Iglesias inatoa maelezo ya chini juu ya masimulizi yanayolingana na hayo ambayo yamo katika sura ya 24 ya Mathayo. Inasema hivi: “Uzuri wa hekalu unampa Yesu nafasi ya kutabiri uharibifu wake; wanafunzi wanauliza uharibifu huo utakuwa wakati gani (mstari wa 3), halafu ulizo hilo linatokeza utangulizi wa habari inayohusu maangamizi makubwa ya mwisho ya ulimwengu, tarehe ya maangamizi yenyewe na ishara zenye kuyatangulia.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki