Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a “καὶ οὕτως = na hivyo; si kumaanisha wakati tu.” (The Expositor’s Greek Testament) Linganisha Today’s English Version (“na hivi ndivyo”), Authorized Version, Revised Standard Version na New International Version (“na kwa hiyo”). Wale walio na imani ya kwamba mwishowe kabisa taifa zima la Kiyahudi litapata uongofu na wokovu wanayafanya maneno kai houʹtos yamaanishe “na ndipo,” wakionyesha yanatumika kuhusiana na wakati. (Ona Warumi 11:26, The Jerusalem Bible.) Vingi vya vitabu vya Jumuiya ya Wakristo vinavyoieleza Biblia vinatoa fasiri hiyo, ingawa inapingana na njia yote ya Paulo ya kueleza mawazo na inapingana na mambo ya uhakika ya historia, ya zamani na ya sasa.​—Linganisha Warumi 2:28, 29; 9:1-6, 27; 10:1, 21; 11:5, 7-10, 14; Matendo 13:45, 46.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki