Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Tafsiri fulani za Biblia zinasema, “Huu ndio mwili wangu.” (Ona Union Version, Habari Njema kwa Watu Wote, na Zaire Swahili Bible.) Lakini, neno la Kigiriki lililotumiwa kuwa “ndio” au “ni” ni neno e·stin, kuonyesha kufananisha, kumaanisha, kuwakilisha. (Ona maneno ya chini juu ya Mathayo 26:26, NW Biblia ya uchunguzi.) Neno ilo hilo la Kigiriki linaonekana katika Mathayo 9:13 na 12:7 na katika visa vyote viwili linatafsiriwa kuwa “maana” (UV, ZSB, na HNWW).

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki