Maelezo ya Chini
b Ingawa katika United States hesabu ya wagonjwa wa vikundi vyote vya umri wanaolazwa katika hospitali imepungua wakati wa kipindi cha miaka 13, kikundi cha wenye umri wa miaka 15-24 kimeongezeka kwa asilimia 19, na kikundi cha walio chini ya miaka 15 kimeongezeka kwa asilimia 158!